Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, October 27, 2014

MCHEZAJI SOKA MAHIRI AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI NA JAMBAZI AFRICA KUSINI

Nahodha wa timu ya soka ya Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mlinda mlango, Senzo Meyiwa  ameuawa.

Klabu yake Orlando Pirates imetangaza kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi na jambazi nyumbani kwake maili 20 kusini mwa jiji la Johannesburg usiku wa jana.

Meyiwa,
Meyiwa, 27,  aliuawa nyumbani kwake  Vosloorus.

Ripoti ambazo bado hazijathibitishwa zinadai kuwa Meyiwa  alikuwa ndani na rafiki yake na mtu mmoja kuingia na kudai apewe simu ya mkononi na kisha kufyatua risasi.

Orlando Pirates,  imeandika kwenye Twitter: “@Orlando-Pirates family has learned with sadness of the untimely death of our number 1 keeper & captain Senzo Meyiwa.”

Irvin Khoza, mwenyekiti wa club hiyo amesema: “hili ni pengo kwa familia ya  Senzo hasa watoto wake  Orlando Pirates na Taifa kwa ujumla

Related Posts:

0 comments: