SANCHEZ NA MPENZI WAKE |
Penzi la nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez liko kwenye hatihati, kisa Miss Chile 2014.
MISS CHILE |
Taarifa zinasema mpenzi wa mshambuliaji huyo raia wa Chile, Laia Grassi amefuta picha zote za Sanchez kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram.
Uamuzi huo unatokana na taarifa za Miss Chile 2014, Camila Andrade kufunguka kwamba alitumiwa mwaliko na Sanchez.
Amesema mara kadhaa alimualika ikiwa ni pamoja na kumpa mwaliko wakati akiwa na mpenzi wake huyo.
Vyombo mbalimbali vya habari vya Chile na nchi nyingine za jirani zimeibeba kwa uzito taarifa hiyo.
Hali iliyoonyesha kumuudhi na kuna taarifa zinaeleza ametengana na mpenzi wake huyo, hata hivyo hazijathibitishwa.
0 comments:
Post a Comment