Nchini
China nywele za bandia ni biashara kubwa sana , wanunuaji katika maduka
ya urembo na saluni huambiwa kuwa nywele hizo ni za kweli, lakini
ukiziangalia kwa karibu zaidi, wakati mwingine hazionekani hivyo.
Katika
kiiji kimoja, jimbo la Hunan, katikati ya China,Katika mitaa ya kijiji
hicho inaonekana kuwa na nywele hizo , baadhi ya nywele hizo ni za kweli
lakini nyingine si nywele za binaadamu isipokua manyoya ya mbuzi.Mtu mmoja anafanya kazi ya kukusanya nywele, anasema anapogonga kengele wanawake hutoka kisha mtu huyo huwakata nywele kwa ajili ya kuuza.Mwenyewe anasema anawapa hela nzuri.
Nywele hizo hufikishwa mpaka mjini Guazngzhou,mji ulio maarufu kwa shughuli za biashara.
Katika eneo hilo hakuna mteja wa asili ya kichina wanunuaji wengi wanatoka Afrika , Nigeria, Ghana,Congo, Afrika kusini,Angola na Uganda
0 comments:
Post a Comment