Shirika
la kutetea haki za Binadamu la Amnesty International limeilaumu
Serikali ya Ujerumani kwa madaia inakiuka sheria za kimataifa kwa
kuwarejesha wakimbizi wa Somalia katika eneo ambalo linashikiliwa na
wapiganaji wa kundi la Al Shabab.
Hata hivyo idara ya uhamiaji ya Ujerumani imesema kila ombi la waomba hifadhi lilipitiwa kwa makini na kwamba wengi wao walipendekeza kurejea nchini kwa Somali na kudaia kuwa hawajawalazimisha kurejea kwa nguvu.
Mwezi mei mwaka huu Umoja wa mataifa ulipendekeza nchi zinazo wahifadhi wakimbizi wa Somalia kutowarejesha nchini kutokana na machafuko na hatari kwa maisha yao.
0 comments:
Post a Comment