Haya ndiyo maoni ya mwanamuziki TID kuhusu wimbo mpya ya Ali Kiba ya
chekecha chekatua kuwa hii nyimbo haina ubora wowote na hadhani kama
itadumu hata miezi 3 sokoni. Ameandika Hivi Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:
This song is not all That..But u guys are making it a big shi**t, its gonna last 3 months #nose Singing
Soundcity yaiweka ‘Alikiba Day’ maalum kwa Kiba
Pale kituo maarufu cha TV cha burudani nchini Nigeria
kinapoamua kutenga siku maalum kwaajili ya Alikiba, ni dalili kuwa
muimbaji huyo wa Aje amekinukisha mbayaa.
Soundcity…Read More
0 comments:
Post a Comment