Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, October 28, 2014

RAIS KENYATA AWAALIKA SAUTI SOL IKULU KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA USHINDI WA KUNDI HILO KATIKA TUZO ZA MTV(EMA)

Ushindi wa kipengele cha ‘Best African Act’ kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards (EMA) umemshawishi Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, kuwaalika Ikulu kundi la Sauti Sol kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa (Oct 27) ikiwa ni sehemu ya kuwapongeza.
Sauti_Sol_and_Uhuru
Sauti Sol wakiwa na Rais Uhuru Kenyatta Ikulu ya Kenya
Kundi hilo lililoanzishwa 2005 liliwashinda Davido, Diamond Platnumz na wasanii wengine wa Afrika.
Kupitia akaunti yao ya Instagram walishare picha na kuandika, “Awesome birthday party!! Happy birthday Mr President @ukenyatta #TeamSautiSol #SautiSol4EMA #BestAfricanAct #BestWorldwideAct #MTVEMA.”
Sauti Sol waeonekana kuwa mabalozi wazuri wa muziki wa Kenya hasa katika tuzo mbalimbali za kimataifa, na kwa sasa wanawania kipengele cha ‘World Wide Act.

0 comments: