AKIWA
na umri wa miaka 36, Didier Drogba ameonyesha bado ni “Special Drog”
baada ya kung’ara vilivyo kwenye mechi ya Capital One Cup akichagiza
ushindi wa 2-1 kwa timu yake ya Chelsea dhidi ya Shrewsbury.
Drogba
alifunga katika dakika ya 48 likiwa ni bao lake la tatu katika mechi
tatu, lakini mbali na kufunga, mshambuliaji pia alikuwa ndiye nyota wa
mchezo kwa kuisumbua vilivyo ngome ya wapinzani wao.
Andrew Mangan akaifungia Chelsea bao la pili dakika ya 77 kabla ya beki wa Chelsea Jermaine Grandison kujifunga kunako dakika ya 81.
Shrewsbury
(3-5-2): Leutwiler 6.5; Grandison 7, Goldson 7, Knight-Percival 6.5;
Grimmer 6.5, Woods 7, Lawrence 7.5, Grant 6.5 (Clark 67min 6), Demetriou
6; Akpa-Akpro 7, Collins 7 (Mangan 75 7)
Chelsea
(4-2-3-1): Cech 6.5; Christensen 6, Cahill 7, Zouma 7, Luis 6; Mikel 6
(Matic 80), Ake 7; Salah 6.5 (Willian 80), Oscar 7 (Hazard 93) Shurrle
6.5; Drogba 8.
Matokeo ya mechi zote za Capital One zilizochezwa Jumanne usiku ni kama ifuatavyo:
FT AFC Bournemouth 2 - 1 West Bromwich Albion
FT Milton Keynes Dons 1 - 2 Sheffield United
FT Shrewsbury Town 1 - 2 Chelsea
FT Fulham 2 - 5 Derby County
FT Liverpool 2 - 1 Swansea City
0 comments:
Post a Comment