June 12 2016 Wamarekani waliamka na habari za kushtukiza sana ambapo mauaji makubwa zaidi yametokea nchini humo baada ya kijana Omar Saddiqui Mateen mwenye miaka 29 kuingia club moja jimboni Florida na kufyatua risasi ambazo zilisababisha mauaji ya watu wasiopungua 50.
Taarifa
zinasema kwamba kulikuwa na takribani watu 320 ndani ya klabu hiyo
wakati tukio hilo linatokea na watu 100 walichukuliwa mateka, Mateen alipigwa risasi na maafisa na kufariki.
0 comments:
Post a Comment