Amesema kuwa wanawake wengi wanavutiwa naye kwa kuamini kwamba ana kitu
cha ziada kwenye mapenzi kutokana na ukubwa wa miguu yake.
Pamoja
na umri mdogo alionao, miguu ya Carl ina ukubwa wa ‘saizi’ namba 21,
ikiwa ni mara mbili zaidi ya kipimo cha miguu ya wanaume wa kawaida
nchini Uingereza.
Kwa kawaida, Waingereza miguu yao ni namba tisa na wale wenye mikubwa,
hufikia namba 10, kwa hiyo umbile la miguu ya Carl ni ajabu kutokea.
Kutokana na hali hiyo, Carl hutoa oda maalum kwa ajili ya kutengenezewa viatu vyake.
Carl, ambaye anaishi Trimsaram, kusini ya Wales, Uingereza, amekuwa
akichati kwenye mitandao ya kijamii inayozungumzia wanaume wenye miguu
mikubwa na kutoa siri zake mbalimbali. |
0 comments:
Post a Comment