Watu
mbali mbali wakiwemo waigizaji wa filamu hapa nchni wanaendelea
kuonyesha jinsi walivyoguswa na kifo cha Mh. Captain John Komba kupita
kurasa zao za mitandaoni usasani mtandao wa Instagram, wamekuwa kuweka
picha yake na kuandika maneno ya kumtakia kheri huko aendako.Mwigizaji
Wema Sepetu nae ni mojawapo alieguswa na msiba huu na kuandika mameno
kuonyesha majonzi alionayo na kutoa kuwa yeye ni mwanachama wa chama
cha mapinduzi (CCM)kama alivyokuwa marehemu.“Dah ni pigo kubwa sana....
RIP Mwana CCM mwenzangu....
. RIP Baba angu... RIP Captain.... Mbele
yako nyuma yetu... Taifa this tym linahuzunika kwako aisee... Kwaheri
Baba...”-Wema aliandika.
Baadhi ya waigizaji nao waliandika kwenye kurasa zao mtandaoni kama ifuatayo;
“Pumzika kwa amani kaka yangudaima tutakukumbuka”-JB
“R.
I. P. Mh komba kifo nimlango wote tutapita ktk mlango huo na hakuna
wakukwepa mlango pole kwa familia tulimpenda ila mungu kampenda zaidi
mbele yake nyuma yetu amin mungu tunakuomba umpokee ndugu yetu umueke
panapo stahili amin tutakukumbuka tumezoeakusikianyimbo za maombolezo
toka kwako dah nakosa jibu swali ninalojiuliza je ninani atakae imba kwa
kukuenzi na kukusindikiza ktk safari yako hakika nipengo pole kwa
familia
pole kwa kila alieguswa na msiba huu tuwe pole wa tanzania wote”-Riyama
pole kwa kila alieguswa na msiba huu tuwe pole wa tanzania wote”-Riyama
“MAY God rest his soul in peace”-Shamsa
“Rest in Peace Captain John Komba…..”-Lulu
0 comments:
Post a Comment