Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, March 2, 2015

BAADA YA JANA chelsea kushinda CAPITAL ONE;JOSE MOURINHO ASEMA : ‘NI NGUMU KWANGU KUISHI BILA MATAJI!’-pata LIST YA TIMU ZILIZOCHUKUA kombe hilo toka lianze


MOURINHO-CAPITALONECUPJose Mourinho ameelezea nia yake kutwaa Mataji mengine mara baada ya Jana Uwanjani Wembley Jijini London Timu yake Chelsea kuichapa Tottenham Hotspur Bao 2-0 na kubeba Capital One Cup likiwa ni Kombe lake la kwanza tangu arejee kwa mara ya pili Klabuni Chelsea.
Bao za Chelsea hapo Jana zilifungwa na Nahodha John Terry na Kyle Walker aliejifunga mwenyewe.
Akiongea mara baada ya Mechi hiyo, Jose Mourinho alisema: “Mie ni kama mtoto alieshinda mara ya kwanza. Ni ngumu kwangu kuishi bila Mataji. Nahitaji kutwaa Makombe!”
Mourinho, ambae alikuwa Chelsea kwa mara ya kwanza kati ya Miaka 2004 na 2007 na kurejea 2013, sasa ameshatwaa Vikombe 7 akiwa na Chelsea.
+++++++++++++++++++++++++++++++++
JOSE MOURINHO – Makombe akiwa na Chelsea:
Ligi Kuu England: 2004/05 & 2005/06
FA Cup: 2006/07
Kombe la Ligi: 2004/05, 2006/07, 2014/15
Ngao ya Jamii: 2005
+++++++++++++++++++++++++++++++++
Chelsea hivi sasa wanaongoza Ligi Kuu England wakiwa Pointi 5 mbele ya Mabingwa Watetezi Manchester City huku wakiwa wamecheza Mechi 1 pungufu.
CAPITAL ONE CUP
WASHINDI WALIOPITA:
1961 Aston Villa
1962 Norwich City
1963 Birmingham City
1964 Leicester City
1965 Chelsea
1966 West Bromwich Albion
1967 Queens Park Rangers
1968 Leeds United
1969 Swindon Town
1970 Manchester City
1971 Tottenham Hotspur
1972 Stoke City
1973 Tottenham Hotspur
1974 Wolverhampton Wanderers
1975 Aston Villa
1976 Manchester City
1977 Aston Villa
1978 Nottingham Forest
1979 Nottingham Forest
1980 Wolverhampton Wanderers
1981 Liverpool
1982 Liverpool
1983 Liverpool
1984 Liverpool
1985 Norwich City
1986 Oxford United
1987 Arsenal
1988 Luton Town
1989 Nottingham Forest
1990 Nottingham Forest
1991 Sheffield Wednesday
1992 Manchester United
1993 Arsenal
1994 Aston Villa
1995 Liverpool
1996 Aston Villa
1997 Leicester City
1998 Chelsea
1999 Tottenham Hotspur
2000 Leicester City
2001 Liverpool
2002 Blackburn Rovers
2003 Liverpool
2004 Middlesbrough
2005 Chelsea
2006 Manchester United
2007 Chelsea
2008 Tottenham Hotspur
2009 Manchester United
2010 Manchester United
2011 Birmingham City
2012 Liverpool
2013 Swansea City
2014 Manchester City
2015 Chelsea

0 comments: