Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Thursday, February 12, 2015

MANCHESTER UNITED YAIFUMUA BURNLEY 3-1 LAKINI MASHABIKI BADO WAUKATAA MFUMO WA VAN GAAL, YAKWEA HADI NAFASI YA TATU …Southampton yakwaa kisiki

Chris Smalling rises above the Burnley defence to score United's second goal on Wednesday night
Manchester United imeifunga Burnley 3-1 kwenye mchezo wa Premier League uliochezwa Old Trafford na kukwea hadi nafasi ya tatu baada ya Southapton kubanwa sare ya 0-0 na West Ham United kwenye mchezo mwingine wa Ligi Kuu.
Hata hivyo mashabiki wa United bado wanaonekana kutoridhika na mfumo wa kocha Louis van Gaal ambapo kwa muda kadhaa wakati matokeo yakiwa 2-1, kundi fulani la mashabiki lilikuwa likizomea wachezaji wao.
Beki Chris Smalling aliyeingia dakika ya tano kuchukua nafasi ya Phil Jones aliyemia mwanzoni kabisa mwa mchezo, ndiye aliyefungia United mabao mawili huku lingine likifungwa na Van Persie kwa njia ya penalti.
Injury-hit defender Phil Jones can't hide his disappointment after being forced off in the fifth minute
Phil Jones akificha uso kwa uchungu baada ya kuumia
Chris Smalling anakuwa mchezaji wa kwanza kutokea benchi kufunga goli katika kipindi cha kwanza katika historia ya Premier League.
Smalling celebrates his first goal against Burnley at Old Trafford
Beki huyo alifunga bao la kwanza dakika moja tu baada ya kuingia uwanjani kabla Burnley hawajasawazisha dakika ya 12 kupitia kwa Danny Ings.

Smalling akatupia la pili  dakika ya 45 wakati Van Perise alihitimisha ushindi kwa bao la dakika ya 82.

0 comments: