Van Persie akishangilia na Ashley Young baada ya kupachika bao. |
Kinara wa Manchester United hapo jana alikuwa ni Robin Van Persie ambaye ndiye aliyefunga magoli yote mawili kwa upande manchester United.
Kwa matokeo hayo sasa Manchester inapanda hadi nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi hiyo na kuwashusha Southampton hadi nafasi ya tano.
Msimamo ulivyo kwa sasa Chelsea wapo nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi hiyo, Manchester City ya Pili na Manchester United wapo nafasi ya tatu.
0 comments:
Post a Comment