KAMA ingekuwa Bongo basi watu wangeamini kuwa bibi harusi karogwa! Katika hali
isiyokuwa ya kawaida, mdogo wake Beyonce, Solange alifunga ndoa na
kusherehekea kwa furaha lakini ilipomalizika mwili wake hususan usoni
uliibuka na vipele (hives) kama tetekuwanga!

SOLANGE akionekana kuwa kwenye maumivu baada ya kuibuka vipele hivyo vinavyodaiwa kutokana na allergy

Beyonce akimpa mdogo wake msaada

hapa ni picha kabla mamb haajabadilika

SOLANGE akionekana kuwa kwenye maumivu baada ya kuibuka vipele hivyo vinavyodaiwa kutokana na allergy
Beyonce akimpa mdogo wake msaada
hapa ni picha kabla mamb haajabadilika
0 comments:
Post a Comment