Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, November 17, 2014

NEWS;VANNESA MDEE NA KALA JEREMIAH KUTOA NGOMA MPYA ZA KUFUNGUA MWAKA

Vanessa - coming soon
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka wasanii wengi wa Bongo wanaendelea kuachia karata zao za mwisho za kufungia mwaka
vanessa2
Vanessa Mdee ni miongoni mwao, kwani anatarajia kutambulisha kazi yake mpya Jumanne Nov.18.
Wimbo wake mpya unaitwa ‘Siri’ akiwa ameshirikiana na Barnaba. Kwenye cover ya wimbo huo kukiwa na mstari usemao “Kwanza ningekuomba kipenzi ukubali tutafanya siri ya watu wawili

Msanii mwingine anayetoa ngoma mwez huu ni Kala Jeremiah
Check picha ya ujio huo
Kala coming soon

0 comments: