Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar da Silva Santos JĂșnior amekula shavu la kuwa kisura wa miwani za polisi, SS15.noma
kwa picha zaidi
Neymar ameungana na mrembo wa Mexico, Daniela de jesus kama visura wa miwani hiyo
Neymar kafuata nyayo za mastaa wengine walio wahi kuwa mabalozi wa miwani hiyo kama Bruce willis,Antonio Banderas,David Beckham,na George clooney
0 comments:
Post a Comment