LEO FIFA imetoa Listi ya Ubora Duniani na Mabingwa wa Dunia Germany bado wako Nambari Wani wakifuatiwa na Argentina na Colombia wakati Tanzania imepanda Nafasi 5 na kukamata Nafasi ya 110.
Mabingwa wa zamani wa Dunia, Spain, wamezidi kuporomoka na sasa wapo Nafasi ya baada kushuka Nafasi 2 huku Brazil wakibakia pale pale Nafasi ya 6.
Nao England wanazidi kushuka na safari hii wameshuka Nafasi 2 na kushika Nafasi ya 20.
Timu ya juu kabisa kwa Afrika ni Algeria ambayo iko nafasi ya 15 baada kupanda Nafasi 5.
Listi nyingine itatolewa hapo Tarehe 27 Novemba 2014.
20 BORA:
1 Germany [Ipo pale pale]
2 Argentina [Pale pale]
3 Colombia [Pale pale]
4 Belgium [Imepanda Nafasi 1]
5 Netherlands[Imeshuka Nafasi 1]
6 Brazil [Pale pale]
7 France [imepanda Nafasi 2]
8 Uruguay [Imeshuka Nafasi 1]
9 Portugal [imepanda Nafasi 2]
10 Spain [imeshuka Nafasi 2]
11 Italy [Imepanda Nafasi 2]
12 Switzerland [Imeshuka Nafasi 2]
13 Chile [Imeshuka Nafasi 1]
14 Croatia [Imepanda Nafasi 5]
15 Algeria [Imepanda Nafasi 5]
16 Costa Rica [Imeshuka Nafasi 1]
17 Mexico [Imeshuka Nafasi 1]
18 Greece [Imeshuka Nafasi 4]
19 Ukraine [Imepanda Nafasi 5]
20 England [Imeshuka Nafasi 2]
ILIPO TANZANIA:
106 Belarus
107 Sudan
108 Palestine
109 Malawi
110 Tanzania [Imepanda Nafasi 5]
111 Ethiopia
112 Cuba
113 Namibia
113 Jamaica
115 St. Kitts and Nevis
116 Kenya
0 comments:
Post a Comment