Mshambuliaji
Diego Costa wa Chelsea ameingia kwenye hofu ya kucheza kucheza mechi dhidi ya
Man United wikiendi hii.
Costa
amekimbizwa hospitali moja mjini London baada ya kupatwa na maumivu makali ya
tumbo.
| |||
DIEGO COSTA
Gazeti
la The Sun limeeeleza kwamba amegundulika kuwa virusi ambavyo vilisababisha
kuwa na maumivu hayo makali.
|
CHECK me!!!!

Thursday, October 23, 2014
COSTA HATIHATI KUIKOSA MAN U WEEKEND HII:akimbizwa hospitali
Author: AMMY YEYOO
9:19:00 PM
Related Posts:
NEW SONG:JULIO FT CHEGE&MADEE------HAINA NOMA … Read More
NEW SONG:GODZILLAH FT MARCO CHALI---------you an i … Read More
NEW VIDEO:D Knob - Nishike Mkono (Explicit) ft. Mwasiti YEYO… Read More
NAJO MKALI FT Rash mo&junay -SILALI YEYO… Read More
NEW SONG:ROMA FT NICOLAZO-------------K.K.K … Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment