Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Friday, August 4, 2017

kuongezeka kwa Wezi wa nywele za wanawake kwazua wasiwasi India

Zaidi ya wanawake 50 katia majimbo yaliyo Kaskazini mwa India ya Haryana na Rajasthan wamesema kuwa wmekatwa nywele zao wakati wakiwa hawana fahamu. 

Polis wanajikakamua kutatua visa hivyo ambayo vinawaacha wanawake na mshutuko mkubwa. 

"Kulikuwa na mwanga mkali uliosababisha nipoteze fahamu. Saa moja baadaye niligundua kuwa nywele pia ikuwa imekatwa," alisema Sunita Devi, mwamamke mwenye umri wa miak 53 kutoka Haryana.

"Nemeshindwa kulala wala kufanya chochote. Nilisoma kuhusu visa hivi vikifanyika huko Rajasthan, lakini sikufikiria kingetendeka kwangu," aliongeza.
Munesh Devi standing front of a half-build house              Munesh Devi anasema kuna hofu katika jamii

Mbali kidogo mwanamke mwingine Asha Devi naee alipoteza nywele yake katika shambulizi kama hilo siku iliyofuata.
Lakini wakati huo mshambuliaji aliripotiwa kuwa mwanamke.
Baba mkwe wake Asha Devi, Suraj Pal anasema kuwa kufuaia kisa hicho, alimshauri pamoja na wanawake wengine wa familia kuhamia nyumba ya jamaa wao kati jimbo la Uttar Pradesh.
 
Indian Forensic experts examine Omvati            Mashambulizi hayo pia yamefanyika mjini Delhi

Bwana Pal anasema alikuwa nyumbani wakati Asha Devi alitoka nje kufanya kazi zake.
"Nilienda nje kujua ni kwa nini hakurudi baada ya zaid ya dakika 30. Tulipata amapoteza fahamu katika chumba cha kuoga. Nywele yake ilikuwa imekatwa na kutupwa sakafuni."alisema.

Ripoti za kunyolewa wanawake kwanza ziliibuka mapema Julai kutoka jimbo la Rajasthan, lakini visa sawa na hivyo kwa sasa vinaripotiwa kutoka Haryan na hata mji mkuu Delhi.
 
Sundar Devi in her house Sundar Devi, 60, amekuwa kitandani tangu ashambuliwe Jumamosi


Sunita Devi anaishi katika jamii ya wafanya biashara na wakulima.
Baadhi wa majirani zake wanachukua zamu kukaa naye hadi apate kuondokewa na mshutuko.
Anasema mshambuliaji wake alikuwa ni mwanamume mzee ambaye alikuwa amevaa nguo nyeupe.
 
An Indian girl places a photo of Hindu god Shiva on her hair for protection after various women got their braids chopped off allegedly by unknown person in Kanganheri village, the outskirts of Delhi, India, 01 August 2017                     Wanawake kutokaa sehemu za Delhi wamekuwa wakitumia picha na miungu ili kulinda nywele zoa


0 comments: