Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Sunday, October 26, 2014

MAHABA NIUE:AMBER ROSE BADO NAMMIS WIZKHALIFA



Mwanamitindo, Amber Rose amekiri kuwa bado anampenda mume wake Wiz Khalifa licha ya kwamba wameachana.
 
“Inaumiza,” Rose alijibu baada ya kuulizwa kuhusu anavyokabiliana na talaka. “Mimi ni binadamu, unajua? Nipo kwenye talaka. Nampenda mume wangu, nammiss sana na mambo mabaya hutokea.”
Amber alimshutumu Wiz kuwa alisaliti ndoa yao.

Related Posts:

0 comments: