
Akizungumza leo na waandishi wa habari afisa habari wa EFM Kanky
Mwaigomole amesema wameamua kumchukua Gardner kwasababu ni miongoni mwa
watangazaji hodari nchini mwenye kipaji cha hali ya juu hivyo kuongeza
chachu ya mafanikio katika kituo hicho
“Gardner ataendesha kipindi kiitwacho Ubaoni kuanzia saa tisa alasiri
mpaka saa moja kamili jioni kuanzia Jumatatu ya tarehe 03 mwezi wa 11
mwaka huu”alisema
Gardner alimaarufu “KAPTENI” alianza kazi na kituo cha Radio Clouds
fmna baadaye Times fm ambapo kwa sasa ametua Efm akitanguliwa na
wakongwe kama Dj Majey,Dizzo One,Sos B,Denis Ssebo,Maulidi Kitenge,Omari
Katanga,Scholastica Mazula na Kanky Mwaigomole.

Taarifa na
Meneja Uhusiano.
Kanky Mwaigomol
0 comments:
Post a Comment