BONGE LA SMILE:Halima Kasim''HK'' Ni moja kati ya divas wa kili fm radio,na anafanya show ya kilibreakfast kila siku asubuhi na kipindi cha uso kwa uso every saturday :Hapa yupo na Bibie Atanasia Rimisho yeye ni radio secretary
THE ONE and ONLY Dj in northern zone----introducing Dj Dril..hapa anakaza buti tayari kwa makamuzi katika show ya The storm every monday to thusday,from 2pm to 4pm.don miss the hell of the great show.
Hapa Dril yupo na mimi "Yeyo beibe"
Ammy yeyo baby "hapo nauza pozi kidogo"
Hapa nipo na Hawa Halifa "Mamaa maraha" mcheki kila jumamosi katika show ya taarabuu kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumi na moja jioni.
HUYU MREMBO:ni resource manager wa radio kili fm anaitwaaaaaa,Winnie Kessy.
POZI LA POMBE POMBE:Si kama nimelewa noooo!!!Nimechoshwa tu na kompyutazzz
Bro from another mother""dj dril hapa anaandaa show ya the stormmmmmmm
HUYU:Anaitwa Kennedy Rowland''k'roo"Jamaa utamkuta katika show ya Rush hour kila jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa tatu hadi saa sita mchana na kipindi cha kili sports kila siku kuanzia saa moja na nusu hadi saa mbili kamili usiku.
HE GOOZ BY THE NAME:Immar Alfred Immar, mchizi mchek kwenye show ya the storm kila jumatatu hadi Alhamisi kuanzia saa nane hadi kumi..pia katika bonanza la wikiend kila ijumaa usiku.
Immar,yeyo na kennedy
INTRODUCING:Mwanahamisi Jingu''mwanajingu'' kazini.kutana nae katika show kali ya maraha ya mwambao kila siku ya jumamosi bila kusahau show ya ''enzi zao''
SHOW LOVE:Yeyo na Hawa
KAZI:Kennedy na Mwanahamisi wakiwa Studio
INTRODUCING:Violeth Chonya a.k.a Lady V, mpate katika show ya Rush Hr kila siku za wiki kuanzia saa tatu hadi saa sita mchana pia katika show ya chaguo langu kila jumamosi
INTRODUCING:AMIRY HASAN MONGI A.K.A MZEE WA VAGANZA
INTRODUCING:One amongst Divas of Kili fm radiooooo----Sharifa Bakary a.k.a Shery B.......utaipendaaaaa!!!!!
MWANAUME KAZINI:Gift Mathius Mongi MZEE wa Vaganza..kila Jumapili saa nne mpaka saa sita mchana.
ebwanaee nicheck katika show ya classic count down kila siku ya jumapili saa sita mpaka saa nane mchana,pia katika show ya house of reggae kila jumamosi saa kumi na moja jioni hadi saa moja usiku................
unaonaeee pia usinikose katika show ya rush hour kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa tatu hadi saa sita mchana along side vai kenny na mimi..ammy yeyooo!
ACTION IS BAAAAAAAACK!!!:
ebwanaee nicheck katika show ya classic count down kila siku ya jumapili saa sita mpaka saa nane mchana,pia katika show ya house of reggae kila jumamosi saa kumi na moja jioni hadi saa moja usiku................
unaonaeee pia usinikose katika show ya rush hour kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa tatu hadi saa sita mchana along side vai kenny na mimi..ammy yeyooo!
|
0 comments:
Post a Comment