Jamaa anaitwa Chite man ni mwanamuziki kutoka nyanda za juu kusini na anawakilisha Iringa
Mkali wa mashairi toka Kitambo na hapa kaja na ngoma nyingine inaitwa NISAMEHE,na kamshirikisha TROSS mill na kazi hii nzuri imefanyika AB rec chini ya producer K loose ENJOY!!!!!
0 comments:
Post a Comment