Devendra Suthar.
Ni vigumu kuamini! Raia wa
Himatnaga, Gujarat nchini India, Devendra Suthar amebainika kuwa
ndiye mtu aliye hai mwenye vidole vingi zaidi vya mikononi na
miguuni. Devendra ambaye ni fundi seremala ana vidole 14 vya mikono na
14 vya miguuni hivyo jumla kuwa na vidole 28 hivyo kuweka rekodi katika
Kitabu cha Kumbukumbu cha Dunia cha Guinness.
0 comments:
Post a Comment