CHECK me!!!!

Sunday, February 9, 2014
PICHA:OMARION KAMA RICK ROSS NA MIDEVU DEVU YAKE:Kutoka kwenye instagram ya Star aliyewahi kuwa na kundi la B2k, Omarion ameweka hii picha na huu ndio muonekano wake wa kuanzia mwaka 2014...KIGUM ZAIDIIII
Author: AMMY YEYOO
1:09:00 PM
Related Posts:
NEW SONG:YOUNG KILLER FT MR BLUE-KUMEKUCHA Rapper kutoka Rock City, Mwanza Young Killer ameachiwa wimbo mpya unaitwa “Kumekucha” amemshirikisha Mr. Blue sikiliza hapa alafu toa maoni yako. … Read More
Jamie Vardy wa Leicester city anafunga ndoa na huyu kimwana:kukosa mechi ya kirafiki ya Uingereza dhidi ya Australia Mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy atakosa mechi ya kirafiki ya Uingereza dhidi ya Australia siku ya Ijumaa kwa kuwa anafunga ndoa siku mbili kabla ya mechi… Read More
Zitto Kabwe kuisaliti kambi ya ukapera, amchumbia mrembo huyu (Picha) Kambi maarufu mjini ya Ukapera inatarajia kupata pigo la mwaka pale member wake mahiri na wa muda mrefu, mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe atakapoigika kibuti rasmi. Will … Read More
Baada ya Jackline Wolper kuwa na Harmonize, kataja jina analomuita Diamond kwa sasa Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu… Read More
Thamani ya Kombe la shirikisho la ASFC litakalotolewa katika mchezo wa fainali ya Yanga vs Azam FC kesho May 25 hii hapa May 24 2016 wadhamini wa Kombe la shirikisho Tanzania Azam Tv kupitia kwa Baruan Muhuza wameweka wazi maandalizi ya mchezo wa fainali sambamba na thamani ya zawadi zitakaz… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment