Picha,Gari anayotumia Memphis Depay yashtua viongozi wa Man Untd .
Memphis Depay mchezaji wa Man Untd aliyesajiliwa kwa pound milioni 25 kutoka PSV Eindhoven ameshtua wachezaji wenzake hivi karibuni baada ya kuwasili kwenye uwanja wao wa mazoezi wa Carrington akiwa na gari la kifahari lenye thamani ya pound £240,000.
Memphis Depay amewasili kwenye mazoezi na gari aina ya Rolls Royce convertible nyeusi ambayo ni miongoni mwa magari ya kifahari wanayotumia mastaa wa muziki Marekani.
0 comments:
Post a Comment