MISS TZ 2014 SITTI MTEMVU inasemekana amevuliwa taji kwa kile kinacho daiwa ni kukiuka taratibu zifuatazo za mashindano hayo.
1;KUDANGANYA UMRI
2;KUJIBU MASWALI KWA KUTUMIA LUGHA YA KIFARANSA badala ya kiingereza au kiswahili
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam. |
1 comments:
du hatari
Post a Comment