CHECK me!!!! Tuesday, December 29, 2015 NEW SONG:BANANA ZORO_KASEME TENA Author: AMMY YEYOO 1:06:00 PM Share This: FacebookTwitterGoogle+Digg Mkali wa zouk, r&b pamoja na pop Tanzania, Banana Zahir Zorro ameona kabla hatujagusa mwaka 2016 nae arudi na kitu masikioni mwetu. Imenifikia hii ngoma inaitwa ‘Kaseme Tena‘, ya kumalizia mwaka 2015 kutoka kwa Banana Zorro jamaa ambaye anamiliki pia BENDI inaitwa B Band. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Newer Post Older Post Home 0 comments: Post a Comment Subscribe to: Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment