Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu
magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo
Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki
magari makali Dar es Salaam.
.Gari la staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel
.AY akiwa kwenye mkoko wake mpya picha hii imepigwa na Bongo5.com
.Pichani sio Idris Sultan bali ni ndugu yake na hili ndio gari la Idris BMW
.Gari hili ni aina ya Harrier Lexus ni la staa Madee
.Gari la staa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz
.Gari la mchekeshaji, Masanja Mkandamizaji
.Gari la msanii wa Bongo Fleva, Peter Msechu
.Gari la msanii wa Bongo Fleva, Quick Rocka ‘Mercedes -Benz’
.Gari la staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu
.Gari hili ambalo aina ya Harrier Lexus ni la msanii Shetta
.Gari la staa Diamond Platnumz
SOURCE: blogs tofauti
0 comments:
Post a Comment