mwanamuziki wa kizaz kipya JOSEPH HAULE ama prof. jay ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la mikumi mkoani morogoro.
Profesa jay amesema kuwa anaona sasa ni wakati muafaka wa kufanya hivyo na jimbo hilo ni maalumu kwake kwa kuwa ni kama nyumbani kwani wazaz wake waliishi huko miaka ya nyuma na babau yake alihamia huko miaka 58 iliyopita.
Aidha anasema AMEKUWA akiimba sana siasa sasa ni muda wa vitendo

0 comments:
Post a Comment