Binti mmoja amedhalilika vibaya baada ya kupita akiwa amevaa kimini maeneo ya Sinza ambapo wanaume wakware walianza kumgasi na kumfanyia vitendo vya kinyama ikiwa ni pamoja na kumwingizia vbidole sehemu za siri
Picha hizo ambazo nyingi zimesambaa mitandao ya kijamii zinamwonyesha binti huyo mwishoni akiokolewa na msamaria mwema ambaye alimpakiza kwenye boda boda yake na kutokomea kusikojulikana

0 comments:
Post a Comment