Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Wednesday, March 4, 2015

MAAFA MAKUBWA SANA Tanzania mwaka 2015 WATU 35 WAFARIKI DUNIA MKOANI SHINYANGA

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

0 comments: