huyu ndiye mwanamuziki mahiri wa DANCEHALL uganda aliyefariki_++anaitwa Emanuel mayanja au AK47_NI MDOGO WA WANAMUZIKI mahiri wa uganda dk jose CHAMELION,WEASEL NA PALLASO
taarifa ni kwamba amefariki baada ya kuifikishwa hospitali mara baada ya kuanguka vibaya alipokuwa akioga huko Uganda
0 comments:
Post a Comment