Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Monday, January 19, 2015

mbali na vituko visivyoisha _IKIWEMO KUVUTA BHANGI na madem_Snoop Dog Awa Babu Sasa, Apata Mjukuu wa Kwanza

"Kushoto ni Snoop Dog na kulia ni Cordé Broadus mwenye mjuu wa pekee wa babu Snoop"

Snoop Dogg awa babu baada ya mwanae Cordé Broadus mwenye miaka 20 kumletea mjukuu wa kiume na wa kwanza kwa anko Snoop legendary na Rapper wa zamani. Pichani ni kijana huyo mtoto wa Snoop, alipost katika mtandao wa kijamii wa Instagram page yake na kuuoneshea ulimwengu kwa kumleta mjukuu huyo wa pekee kwa babu Snoop.

0 comments: