Anaitwa N!xau Ç‚Toma wengi wanamfahamu kama BUSH MAN_na anafahamika zaidi
baada ya kucheza muvi ya THE gods must be crazy
HIstoria yake iko ma aifuatayo
|
||||
ALIZALIWA
|
1943(Inakisiwa kwan hakujua umri
sahihi wa kwake)huko
Tsumkwe, Namibia |
|||
Na alifariki
|
1 July 2003 (Na inakadiwa alikuwa
na umri kati ya 59–60 huko huko
Tsumkwe, Namibia |
|||
ALIKUWA mcheza filamu Katika mwaka
|
1980–1994
|
FILAMU
ALIZOCHEZA NI PAMOJA NA The Gods Must Be Crazy
KAMA (Bushman) au Xixo.[2][3]
Nchini MWAKE NAMIBIA ANAFAHAMIKA KAMA mwigizaji
maarufu kuliko yeyote
KUNA MAMBO 10 usiyoyafahamu
vizuri kuhusu huyu Mtu
1:Japo kwenye
muvi alicheza kama bushman_ila ni kweli kabisa kuwa alikuwa bushman_mtu mshamba
asiyejua umjini na mpaka anacheza muvi ya kwanza alikuwa hajaona mtu mweupe
anayevaa nguo
2:Hakujua umri
wake sahihi
3:Hakujua thamani
ya hela na inasemekana hata malipo aliyolipwa baada ya muvi ya kwanza alizitupa
akidhani ni uchafu tu na zikaenda na upepo
4:Alifundishwa thamani
ya hela katika muvi ya Pili na kuendelea na hapo ndo akawa mjanja kisha kuwa
anachaji kiasi kikubwa cha fedha ili acheze muvi
5:MAISHA YALIYO
katika muvi yake ya kwanza na ya pili ni halisi wanayoishi ma bushman huko
jangwa la kalahali namibia
6:ALIJIBADILI
dini mwaka 2000, na kubatizwa kuwa msabato
7:Tarehe 1 July
2003, alifariki baada ya kuugua kifua
kikuu kilichokomaa ugonjwa alioupata kwa ajili ya kuwinda ndege usiku
8:Anakadiriwa
kufa akiwa na miaka 59_kwani kwa mabush man hawakujua SUALA LA umri
9;ALIZIKWA
kwenye makaburi ya asili huko Tsumkwe,july 12 pembeni mwa
kaburi la mke wake wa pili
10:ALIACHA watoto 6 walio hai__kwani wengine
walikufa
0 comments:
Post a Comment