Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Tuesday, November 11, 2014

NEWS:WEMA NA PENNY__BAADA YA KUPATANA WAFANYA KITU CHA ZIADA

Wema na penny
Baada ya staa wa filamu Wema Sepetu na mtangazaji wa radio VJ Penny weekend iliyopita kumaliza tofauti zao zilizowatenganisha kwa muda mrefu, hatimaye sasa wameanza kuwa karibu.

wema na penny2
 Kupatanishwa kwao kulikofanywa na rafiki yao Junaithar aliyewaalika kwenye dinner ya birthday yake usiku wa Jumamosi, haukuishia hapo bali sasa wamerudisha ukaribu kiasi cha kuanza kutembeleana.

Kupitia Instagram Wema ameshare picha hii mpya akiwa na Penny nyumbani kwake na kuandika:
“And the Saga continues… I must say I am a Happy Soul…. So at peace…. Kajisemea shem lake na nanukuu ” kwenye vitu flani vya PROJECT…..” @vjpenny04 @jumalokole2″
Penny naye alii-repost.

wema na penny3
Lakini ukaribu wao wa sasa unaonekana pia unahusisha kazi, kupitia akaunti ya mtu ambaye Wema amemtag kwenye picha hiyo @jumalokole2, naye alipost picha hizo alizopiga nao, na kuandika caption zinazoashiria walikuwa wanarekodi kipindi.
jumalokole2: “Watu makini tukifanya yetu new Project @wemasepetu @vjpenny04…..” na nyingine aliandika “Kwenye vitu flani vya PROJECT…..

0 comments: