Hata hivyo pamoja na kupanga maboksi hayo 99 ya simu hizo kwenye umbo la kopa, mpenzi wake alikataa ombi lake.
Aliamua kualika washkaji zake kushuhudia tukio ambalo liligeuka kuwa la aibu kwake. Inasemekana kuwa sasa hivi jamaa anahaha kutafuta wateja kuuza simu zake kwa bei ya hasara ya £55,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 149.
0 comments:
Post a Comment