Hapa ni mandhari ya soko dogo la mashine tatu lililopo katika manispaa ya Iringa huku wajasiriamali wakiendelea na shughuli zao hapo sokoni asubuhi ya leo,,katika pitapita sokoni hapo kwa sasa mazao aina ya matunda yameonekana kuongezeka maradufu jambo ambalo ni zuri kwa wakazi wa Iringa kutokana na tatizo kwa kutopata lishe bora ambapo matunda ni moja wapo ya vitu vinavyoujenga mwili vilevile kujikinga na magonjwa mbalimbali kwa mijibu wa sekta ya afya nchini na duniani na huyu ni mmoja ya wafanyabiashara sokoni hapo. |
CHECK me!!!!
Saturday, October 18, 2014
KWA KUJENGA AFYA YAKO KWA KUTUMIA MATUNDA
Author: AMMY YEYOO
6:29:00 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment