Muziki,Habari motomoto,MICHEZO,Maajabu,Picha Picha na mambo mengine mengi hapa ndani ya KALI ZA DJ YEYO

nongona

tangazo eligod

tangazo eligod

About the Author

CHECK me!!!!

CHECK me!!!!

Thursday, June 16, 2011

ALIYE MUUUA TUPAC HUYU HAPA....................


MIAKA 17 ILIYOPITA TUPAC  ALIPIGWA RISASI PANDE ZA LAS VEGAS NA MUUAJI ALIKUWA HAJAJULIKANA MPAKA LEO AMBAPO  Dexter Isaac – AMBAYE YUPO JELA KWA KESI YA MAUAJI AMEKIRI KUWA ALIMSHOOT MCHIZI  KWA DAU LA DOLA ZA KIMAREKANI 2,500 au ZAIDI YA MILIONI TATU ZA HAPA BONGO .

JAMAA ALICONFESS KWENYE TANDAO WA  AllHipHop dot.com.



Dexter Isaac Confesses To 1994 Robbery/Shooting Of 2Pac
DEXTER ISAAC


                                   
JAMAA AMESEMA KUWA MWAKA 1994, James Rosemond ALIMKODISHA ILI KUMUUA MAREHEMU TUPAC KATIKA STUDI ZA  Quad .
JAMAA ALISEMA KUWA MBALI NA KUMPA  DOLA 2,500,ALICHUKUA PIA VITO VYA THAMANI KUTOKA KWA 2PAC KASORO TU PETE MOJA AMBAYO  James Rosemond ALIIPENDA NA KUICHUKUA YEYE.

2PAC
2PAC
  
JAMAA ANASEMA BADO ANAYO  CHENI  ALIYOIIBA USIKU WA TUKIO NA ANAIOMBA RADHI FAMILIA YA 2PAC KWA KOSA HILO KWANI ALILIFANYA KUTOKANA NA KUDANGANYWA NA James Rosemond

NEWS: Jimmy Henchman Plans Muti-Million Dollar Lawsuit Againt NY Daily News
JAMES ROSEMOND




JE WEWE UNAAMINI KAMA KWELI JAMAA AMEMUUA 2PAC AU ANATAKA MAUJIKO?TUPIA KITU CHA COMMENT HAPO CHINI….......

0 comments: