ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA KOREA YA KUSINI BWANA BAN KI MOON AMETEULIWA TENA KUWA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA KWA MIAKA MINGINE MITANO.
BAN KI MOON |
MKUTANO MKUU WA UMOJA WA MATAIFA ULIOHUSISHA NCHI 192 ULIMPITISHA BAN KI MOON LAKINI CHA KUSHANGAZA SI KWA KUMPIGIA KURA BALI KWA KUMPIGIA MAKOFI.
0 comments:
Post a Comment