BAADHI YA WADAU WALIOSHIRIKI WAKIWA KATIKA POZI LA PAMOJA
RAHA TUPU:HK wa kili fm alikuwepo akishiriki mbio za kilometa 5 na pia msanii Masinde,alikuwepoooooo!
ASANTE KWA KUSHIRIKI:MR KIZUMO,BOSI WA VODA COM MKOANI KILIMANJARO ALIKUWEPO AKIJIACHIA NA WASHIRIKI WA KILI MARATHON 2011
SHOW LOV:Top B,msanii wa mkoani kilimanjaro alikuwepo akishiriki mbio za kilometa 5 hapa anashow love na mrembo Jamila Khassim
NG'OMBE HAZEEKI MAINI:Huyu babu anatokea Arusha kwa taarifa yako na ameshiriki mbio ndefu katika marathoni ya mwaka huu......amaizing!HAPA anahojiwa na kennedy wa Kili sports.
NIPO KIMAZOEZI ZAIDI:MMOJA WA WAREMBO WALIOSHIRIKI MASHINDANO HAYO YA KILI MARATHON HAPA AKIWA AMEPOZI BAADA YA KUCHOKA.
MABOSI WA SERENGETI LAGER:kushoto ni Mr. Chambega na Patrick Kisaka walikuwepoooooooo!
KACHOKAAAAA!:HK mtangazaji wa redio kili fm,baada ya kukimbia kilomita 5 akiwa amepumzika baada ya mbio hizo zilizodhaminiwa na Vodacom Tanzania....
HAPA:MASINDE KWA FIX TU ......SIJUI HAPA KAMWAMBIA NINI HK.......MWENYEWE ANACHEEEEEKA!
FURAHA:HUYU NDIYE MSHINDI WA KWANZA KWA UPANDE WA WANAWAKE KILOMETA 42 NA NI MKENYA! DUH WANAKIMBIA HAO!
NIFOTOE BANA:TOP KABLA YA MBIO HIZO.YEYE ALIKIMBIA KILOMETA 5 tuuuuu!
MAKAMUZI:WANAUME TMK WALIKUWEPO KUTOA BURUDANI
PICHA YA PAMOJA:SHADRACK LEMA WA TATU KUSHOTO AKIWA NA WASHIRIKI WENGINE WA KILI MARATHON 2011.
WAREMBO:Jamila,Mdau na Hk....Kili Marathon 2011.
NIFOTOE BANA:JAMILA KHASSIM....ALISHIRIKI KILI MARATHON 2011
WASHIRIKI:BAADHI YA WASHIRIKI WAKIONGOZWA NA HK.
PATRICK WA KILI FM a.k.a Advocate alikuwepo akiuza sura..but yeye hakukimbia
MAMBO YA VODACOM:BOSS WA VODACOM KILIMANJARO MR KIZUMO nae ALIJICHANGANYA NA WASHIRIKI KUFANIKISHA MBIO.
RAHA TUPU:HK wa kili fm alikuwepo akishiriki mbio za kilometa 5 na pia msanii Masinde,alikuwepoooooo!
ASANTE KWA KUSHIRIKI:MR KIZUMO,BOSI WA VODA COM MKOANI KILIMANJARO ALIKUWEPO AKIJIACHIA NA WASHIRIKI WA KILI MARATHON 2011
SHOW LOV:Top B,msanii wa mkoani kilimanjaro alikuwepo akishiriki mbio za kilometa 5 hapa anashow love na mrembo Jamila Khassim
NIPO KIMAZOEZI ZAIDI:MMOJA WA WAREMBO WALIOSHIRIKI MASHINDANO HAYO YA KILI MARATHON HAPA AKIWA AMEPOZI BAADA YA KUCHOKA.
HAPA:MASINDE KWA FIX TU ......SIJUI HAPA KAMWAMBIA NINI HK.......MWENYEWE ANACHEEEEEKA!
NIFOTOE BANA:TOP KABLA YA MBIO HIZO.YEYE ALIKIMBIA KILOMETA 5 tuuuuu!
MAKAMUZI:WANAUME TMK WALIKUWEPO KUTOA BURUDANI
PICHA YA PAMOJA:SHADRACK LEMA WA TATU KUSHOTO AKIWA NA WASHIRIKI WENGINE WA KILI MARATHON 2011.
WAREMBO:Jamila,Mdau na Hk....Kili Marathon 2011.
NIFOTOE BANA:JAMILA KHASSIM....ALISHIRIKI KILI MARATHON 2011
PATRICK WA KILI FM a.k.a Advocate alikuwepo akiuza sura..but yeye hakukimbia
MAMBO YA VODACOM:BOSS WA VODACOM KILIMANJARO MR KIZUMO nae ALIJICHANGANYA NA WASHIRIKI KUFANIKISHA MBIO.
0 comments:
Post a Comment