Huu umekuwa utamaduni wao wa muda mrefu
huku wakiamini kuwa njia hii inaweza kurahisisha upumuaji kwa watoto na
pia kwa wagonjwa wa Pumu hii ndio tiba sahihi. Kila June familia
mbalimbali hujumuika kwa pamoja ili kushiriki katika zoezi hili.
Mdomoni mwa samaki hao wanaweka dawa za
asili zenye rangi ya njano na kuhakikisha anayepokea anameza vyote.
Zoezi hili limekuwa likifanyika kwa miaka 170 ikiwa mwaka huu
inakadiriwa zaidi ya watu laki moja walipokea tiba hiyo.
Angalia video hapa
0 comments:
Post a Comment