Mti
wa ajabu aina ya Muembe umewavuta mamia ya wakazi wa Tengamano Jijini
Tanga kuushuhudia ambapo inadaiwa kuwa mwembe huo ikifika majira ya
jioni hubadilika na kuwa na taswira ya mwalimu Nyerere kwa upande mmoja
na Mama Nyerere kwa upande wa pili
Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016. "Ni
kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza, hapa
nilipo ndio naona hali halisi ya huu mwembe, ni kama mtu alijaribu
kuuchonga"- Anasimulia shuhuda wa Tukio hilo Awadhi Ally
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
0 comments:
Post a Comment