Kutokana na kudaiwa deni la
zaidi ya mil 100 kanisa la Sinza Christian Center latupiwa nje
vyombo vyake na dalali aliyepewa tenda hiyo bwana Joshua aliyeteuliwa na
Mahakama na mmiliki jengo hilo Bwana Prosper Rwendera , akizungumza na
Dar es salaam yetu Blog mke wa mmiliki wa jingo Hilo Bi. Patricia
Prosper alisema; “huyu aliyepanga hapa hakufuata utaratibu wowote na
ndiyo maana tukapewa jengo letu.”
Alipotafutwa msemaji wa Kanisa ambaye ni Askofu anayedaiwa kuvamia jengo hilo, hakupatikana kuzungumzia sakata hilo na hata waumini wa kanisa hilo walipotafutwa walikataa kwa madai hawana mamlaka ya kuzungumzia lolote kuhusiana na sakata hilo.

eneo hilo
Viti vyote vikiwa vimetolewa nje
Vyombo vya Muziki vikiwa nje
Magari yakiwa yanatolewa nje
Vitu vikiwa nje ya Jengo hilo ambapo mpaka sasa kuna sinto fahamu vinapelekwa wapi
Vikombe nje
Wametoa vitu vyote
Baadhi ya Magari yaliyotolewa katika Jengo hilo ambapo hapo awali ilikuwa ni Kanisa
Kushoto
kwa mbali ni Mke wa Miiliki wa Jengo hilo Bi. Patricia Prosper
akiendelea na majukumu huku pembeni vijana wakipata maelekezo ya
kuendelea kutoa vitu.
0 comments:
Post a Comment