Tofauti katika urefu wa Vidole inajulikana kama Digiti uwiano(Digit Ratio) katika duru za kisayansi. Ingawa kulikuwa na tafiti chache mwishoni mwa miaka ya 1800 ziliyobainisha kuwa kulikuwa na idadi kubwa ya wanaume ambao waliokuwa na vidole vya pete virefu zaidi ya shahada,kuliko wanawake,ugunduzi HUU kwa kiasi kikubwa ulipuuzwa kwa miaka mingi
kwa mujibu wa tafiti mpya kuna mengi ya kusema kuhusu mikono - au, hasa zaidi, kuhusu vidole!
Tafiti zinaonyesha kwamba siri ya utu wako NA sifa zake zinawekwa wazi na kidole chako cha pete
Kidole cha pete kinaonyesha ni kiasi gani cha Testosterone ulikumbana nacho wakati ukiwa toka tumboni - ambayo inaweza kuwa na athari kubwa inaonekana juu ya utu wako.
A:Kama kidole chako cha pete ni kirefu zaidi ya kidole chako cha shahada , ni dhahiri kwamba Watu hawa ni wazuri wa sura ila kuwa na fujo ni kawaida yao. si waoga wanajitoaga muhanga kwa mambo ya hatari na wanaweza kuwa askari bora au hata wahandisi. michezo wanayoweza kucheza vizuri ni chesi na kufumbua mafumbo. Utafiti huo umegundua pia kwamba wao hutengeneza pesa zaidi kuliko wenzao ambao kidole chao cha pete ni kifupi.
B:Kama kidole chako cha pete ni kifupi zaidi ya kidole chako cha shahada , inadaiwa kuwa unajiheshimu na usiyejiamini ulivyo, Na hupenda kufurahia muda wako na hupata hasira pale mtu anapoingilia faragha yako. Wewe ni bora katika kupokea upendo kuliko kutoa upendo kwa wengine, kwa maana ya kuwa wewe ni ngumu kuchukua hatua katika maisha yako ya kimapenzi.
MUHIMU
C: Kama kidole chako cha pete na kidole chako cha shahada vinalingana urefu wewe Unatajwa kuwa ni mtu wa amani sana. Wewe hujaribu kuepuka mgongano na kujaribu kupatana na watu muda wote, Wewe ni mwaminifu, mpole sana na hujali mpenzi wako.
MUHIMU
Tofauti katika urefu wa Vidole inajulikana kama Digiti uwiano(Digit Ratio) katika duru za kisayansi. Ingawa kulikuwa na tafiti chache mwishoni mwa miaka ya 1800 ziliyobainisha kuwa kulikuwa na idadi kubwa ya wanaume ambao waliokuwa na vidole vya pete virefu zaidi ya shahada,kuliko wanawake,ugunduzi HUU kwa kiasi kikubwa ulipuuzwa kwa miaka mingi
0 comments:
Post a Comment