Mwaka 2015 ni umekuwa ni mwaka wa mafanikio kwa klabu ya FC Barcelona ya Hispania kwani imefanikiwa kutwaa mataji matano, FC Barcelona ambayo inatajwa kuwa ni timu namba moja kwa ubora duniani, kwa mwaka 2015 imefanikiwa kutwaa mataji ya Copa del Rey, European Super Cup, La Liga,
Ligi ya Mabingwa Ulaya na Klabu Bingwa Dunia, wachezaji wake sita
wametajwa katika Top 10 ya wachezaji bora wa mwaka 2015 wa gazeti la Hispania la Marca, nyota anayetajwa kuanguka katika viwango hivi ni Cristiano Ronaldo ambaye ameshika nafasi ya 8 kwa ubora kwa mwaka 2015.
Hii ndio list kamili mtu wangu FC Brcelona wameingiza wachezaji jumla ya wachezaji sita katika list hii
10. Paul Pogba (Juventus)
9. Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
8. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
7. Claudio Bravo (Barcelona)
6. Sergio Busquets (Barcelona)
5. Robert Lewandowski (Bayern Munich)
4. Anders Iniesta (Barcelona)
3. Luis Suarez (Barcelona)
2. Neymar (Barcelona)
1. Leo Messi (Barcelona)
0 comments:
Post a Comment