Hii imetokea mjini Hollywood wiki hii ambapo Rihanna na mpenzi wake
Travi$ Scott walikuwa na mastaa wengine kwenye club moja kubwa na
walilazimika kumaliza starehe zao mapema kutokana na milio ya risasi
kusikika.
Ty Dolla $ign likuwa miongoni mwa wasanii kwenye club hio.
0 comments:
Post a Comment