Ile party ya nguo nyeupe ya mwana mama Zari the boss lady imefanyika wiki hii nchini Uganda na mume wa Zari anaye fahamika kama Ivan alihudhuria.
Zari na Ivan wana watoto watatu na wanahisa kwenye biashara tofauti wanazosimamia hii inasababisha wawe na mawasiliano mara kwa mara.Ivan ameonekana kwenye party hii na mshkaji wake King Lawrence kwenye ukumbi wa Guvnor ilipofanyika party hii.
Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari hakuwepo kwenye party hio ila yupo Uganda sababu ana show na Patoranking wiki hii.
0 comments:
Post a Comment