Kwenye list ya mastaa ambao wanafunga
mwaka 2015 wakiwa ndani ya list ya wale ambao midundo yao imefanikiwa
kupenya na kukubalika kwenye TV za kimataifa, jina la Jux limo !!
Ngoma ya ‘Looking for You‘ Feat. Joh Makini ni moja ya zinazopigwa kwenye TV hizo ikiwemo kubwa ya Trace Urban ya Ufaransa… Jux kaitambulisha nyingine kutoka kwake, unaweza kuisikiliza ‘One More Night‘ kwa kubonyeza link ya Mkito hapo chini.
0 comments:
Post a Comment