Rapa 50 Cent anadhidi kuonyesha dunia kuwa amefilisika kabisa baada
ya kuweka sokoni jumba lake la kifahari lililopo Connecticut nchini
Marekani.
Jumba lina vyumba 21, mabafu 25 na linauzwa dola milioni 8.5.
Mwaka
2007 alipanga kuuza nyumba hio na ilikuwa dola milioni 18.5 ila soko
limebadilika.
0 comments:
Post a Comment